Taasisi ya NIMR yapata Mkurugenzi mpya

User avatar
Moderator 1
Site Admin
Posts: 13
Joined: Tue Jun 21, 2016 10:45 am
Contact:

Taasisi ya NIMR yapata Mkurugenzi mpya

Postby Moderator 1 » Tue Dec 20, 2016 6:03 pm

Dr Yunus Mgaya ndio Mkurugenzi mpya NIMR!

Siku chache zilizopita, aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti ya NIMR, Dkt Mwele Malecela ambae uteuzi wake hufanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitangaza matokeo yaliyoonyesha uwepo wa virusi vya Zika nchini ambapo kati ya watu waliofanyiwa majaribio, asilimia 15 walipatikana na viashiria vya ugonjwa huo.

Taarifa hizi zilikanushwa muda mfupi baadae na serikali kupitia Wizara ya Afya.

Kutokana na sababu ambazo hazikuanishwa wazi, Rais, Dkt John Pombe Magufuli alitengua uteuzi wa Mkurugenzi huyo mara moja. Je ni kweli kukanushwa kwa taarifa za ugonjwa wa Zika kunaamisha tusichukue tahadhari yeyote?

Image

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 0 guests