Dawa za Mitishamba Special Thread

Sungita Abdul
Posts: 2
Joined: Tue Aug 23, 2016 9:33 am
Location: Morogoro
Contact:

Dawa za Mitishamba Special Thread

Postby Sungita Abdul » Tue Aug 23, 2016 1:08 pm

Dawa za mitishamba ni dawa ambazo hutumika kutibu magonwa mbalimbali katika mwili wa binadamu,dawa hizi hutokana majani,mizizi,mbegu na maganda mimea mbalimbali. Hivi sasa, kumekuwa na matumizi makubwa ya dawa hizi kutoka kwa wataalamu mbalimbali ambao wamezingundua. Sasa wewe kama MwanaAFYAFORUM na ni doctor ambaye unatibu kwa kutumia mitishamba karibu ktk jukwaa hli na wewe ambaye unasumbuliwa na magonjwa na unahitaji kutibiwa kwa mitishamba, basi wote kwa pamoja uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kujadili na kupata ushauri.

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 1 guest